MWINYI AKABIDHI MASHINE YA X RAY NA KUWAFARIJI WATOTO WENYE KANSA MUHIMBILI

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALI HASAN MWINYI AKISALIMIANA NA RAIS WA ROTARY DAR ES SALAAM, JONSON MSHANA, ALIPOWASILIKTK  HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KUWAFARIJI WATOTO WANAOSUMBULIWA NA UGONJWA WA KANSA
MZEE MWINYI AKIMFARIJI MTOTO MWENYE KANSA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
MGANGA WA WODI YA WATOTO WENYE KANSA, DKT JUMANNE  SHIKILU (KUSHOTO) AKIMUONESHA MZEE MWINYI MTOTO MDOGO ALIYEPATWA NA KANSA YA DAMU
"POLE MJUKUU WANGU", NDIVYO ANAVYOSEMA MZEE MWINYI ALIPOFIKA KWENYE WODI YA WATOTO WENYE KANSA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI JANA. WATOTO 
"MNAENDELEAJE NA KUUGUZA, POLENI SANA", MZEE MWINYI ANAMPA POLE MAMA WA MTOTO  ALIYELAZWA MUHIMBILI AKISUMBULIWA NA UGONJWA WA KANSA
MZEE MWINYI AKIMSIKILIZA MTAALAM WA X RAY KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI, ALIPOZINDUA MTAMBO MPYA WA X RAY ULIOTOLEWA KWA MSAADA NA ROTARY
MGANGA MKUU WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, DKT MARINA NJALEKELA AKITOA MAELEZO YA MASHINE YA X RAY KWA RAIS MSTAAFU ALI HASAN MWINYI BAADA YA KUKABIDHIWA MTAMBO HUO NA ROTARY KLABU DAR ES SALAAM
 MZEE MWINYI AKIANGALIA UBAO WA UZINDUZI WA JENGO LA WATOTO MUHIMBILI

BAADHI YA MADAKTARI WA MUHIMBILI WAKIJARIBU KUITUMIA MASHINE YA X RAY

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru