ZIARA YA JK MKOANI RUVUMA KATIKA PICHA

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA MBINGA MKOANI RUVUMA WAKATI WA ZIARA YAKE YA SIKU SABA KWA AJILI YA KUKAGUA SHUGHULI ZA MAENDELEO NA KUZINDUA BARABARA YA SONGEA HADI MBINGA
RAIS KIKWETE AKISISITIZA JAMBO ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MBINGA KUHUSU KUKOMESHA VIFO VYA MAMA NA WATOTO WAKATI WA KUJIFUNGUA

WAZIRI WA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKITOA MSIMAMO WA WIZARA YAKE KUHUSU UJENZI WA MAKAZI BORA NCHINI
 WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROFESA SOSPETER MUHONGO AKITOA UFAFANUZI KWA WANANCHI KUHUSU MAFANIKIO YA SERIKALI KUFIKISHA UMEME VIJIJNI
WAZIRI WA UJENZI JOHN MAGUFULI AKIFAFANUA JAMBO KUHUSU UJENZI WA BARABARA YA SONGEAHADI MBINGA KWA KIWANGO CHA LAMI


NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI, JENISTA MHAGAMA AKIFAFANUA KUHUSU KIWANGO CHA ELIMU NA MKAKATI WA SERIKALI KUBORESHA SEKTA HIYO


MBUNGE WA MBINGA MAGHARIBI, BW, GAUDENCE KAYOMBO


RAIS KIKWETE AKIANGALIA MOJA YA PICHA ZA KUCHORA NA MSANII WA MBINGA


RAIS KIKWETE AKIMWANGALIA MMOJA WA WAPIGA NGOMA ZA ASILI MBINGAWANANCHI WA MBINGA WAKIFURAHIA JAMBO KWENYE MKUTANO WA RAIS KIKWETE


KIKWETE OYEEEE, NDIVYO WANAVYOONEKANA KUSEMA WANANCHI WA MBINGA


RAIS KIKWETE AKIZINDUA BARABARA MPYA YA LAMI YA SONGEA HADI MBINGA  


RAIS KIKWETE AKIUMWAGILIA MAJI MMOJA MTI ALIOPANDA KANDO YA BARABARA


RAIS KIKWETE AKIKATA UTEPE KUZINDUA RASMI BARABARA HIYO
WANANCHI WA MBINGA WAKIWA WAMEPANDA KWENYE MAGARI KUSHUHUDIA UZINDUZI WA BARABARA YA MBINGA HADI SONGEA ILIYOZINDULIWA NA RAISComments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru