Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, August 3, 2014

BENKI M, ROTARY DAR WASAINI MAKUBALIANO YA MBIO ZA MARATHON

NAIBU MTENDAJI MKUU  WA BENKI M. JACQUELINE WOISO NA MWENYEKITI WA BODI YA ROTARY DAR, SHAKILA BATT (KULIA), WAKISAINI MAKUBALIANO YA UDHAMINI  WA ROTARY MARATHON, KUKUSANYA FEDHA ZA UJENZI WA KITUO CHA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
" TUWASAIDIE WAJASIRIAMALI WAJIKWAMUE", SHAKILA AKIMWELEZA WOISO
WAKIBADILISHANA HATI ZA MAKUBALIANO BAADA YA KUTIAA SAHIHI HYATT HOTELI 'KILIMANJARO' DAR ES SALAAM WAKISHUHUDIWA NA WAANDISHI WA HABARI
WAKISHIKANA MIKONO BAADA YA KUBADILISHANA HATI ZA MAKUBALIANO
"WEWE SHIKA HII NAMI NIPE HII", NDIVYO WANAVYOSEMA BAADA YA KUSAINI
 WAANDISHI WA HABARI WAKISHUHUDIA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO HAYO LEO
WAKIJIBU BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WAANDISHI WA HABARI

No comments:

Post a Comment