IFAHAMU VIZURI DAR ES SALAAM KUPITIA MPIGANAJI

HII NI SANAMU MAALUM YA ASKARI ILIYOKO KWENYE MAKUTANO ZA BARABARA SAMORA NA AZIKIWE, KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM, ENEO LA POSTA

...INAWEZEKANAKABISA KUWA WEWE UMEZALIWA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM, AMA PENGINE ULIHAMIA KATIKA JIJI HILI WEWE NA WAZAZI WAKO UKIWA MTOTO MCHANGA BAADA YA KUTOKA KIJIJINI KWENU, LAKINI PAMOJA NA KUISHI MIAKA NENDA, MIAKA RUDI, BADO HUIFAHAMU VIZURI DAR ES SALAAM. UKIAMINI KUWA KARIAKOO, POSTA NA MAGOMENI NDIO UMEIFAHAMU VIZURI DAR ES SALAA.

KUTOKANA NA UMUHIMU WA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA TANZANIA, KUPITIA BLOG YA MPIGANAJI TUTAANZA KUWALETEA MITAA YOTE YA WILAYA TATU ZA  DAR ES SALAAM. TEMEKE, ILALA NA KINONDONI. KWA LENGO KUWAFANYA WATANZANIA AMBAO HAWAIJUI DAR ES SALAAM WAWEZE KUIFAHAMU VIZURI.

Comments

  1. habari yako kaka naomba contact zako kuna biashara

    ReplyDelete
  2. habari yako kaka naomba contact zako kuna biashara

    ReplyDelete

Post a Comment

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru