Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, August 9, 2014

JIJINI DAR ES SALAAM LEO KATIKA PICHA

 Mfanyabiashara ya kuuza mikaa akitumia Baiskeli yake kusafirisha bidhaa hiyo kwenda katikari ya Jiji leo.
 Wauuza mikaa kutoka Kisarawe, wakisafirisha shehena ya bidhaa hiyo kwa Baiskeli kuelekea katikati ya Jiji
Wakazi wa eneo la Gongo la Mboto, Dar es Salaam, wakipata huduma safi ya chakula cha mchana kwa Mama rishe wanaofanya biashara hiyo kando ya Barabara ya Kisarawe,Jijini Dar es Salaam leo
Ni kawaida kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kusoma magazeti bila kununua kama hawa waliokutwa na Kamera yetu, eneo la Vigunguti. Vichwa vya habari vya magazeti huwatosha kabisa kupata habari.

No comments:

Post a Comment