Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, August 5, 2014

MNABORESHA AU MNAMUONGEZEA GHARAMA YA MAISHA MTANZANIA

POLISI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI, DAR ES SALAAM AKIMWANDIKIA FAINI MMOJA WA MADEREVA WA SHIRIKA LA USAFIRI DAR ES SALAAM BAADA YA KUMKAMATA AKIVUNJA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI ENEO LA MNAZI MMOJA.

MABASI YA ABIRIA (DALADALA), HUSHUSHA NA KUPAKIA ABIRIA KITUO CHA MNAZI MMOJA NA KUWAFANYA KUTAFUTA USAFIRI MWINGINE WA KUWAFIKISHA KATIKATI YA JIJI ENEO LA POSTA, KITENDO AMBACHO NI KUWAONGEZEA GHARAMA ZA MAISHA.


BAADA YA ABIRIA KUSHUKA KWENYE DALADALA ZA GONGO LA MBOTO NA TEMEKE, WANAPANDA UDA KWA GHARAMA NYINGINE KWA AJILI YA KUENDELEA NA SAFARI 


DALADALA ZA TEMEKE ZIKISUBIRI ABIRIA KWENYE KITUO CHA MNAZI MMOJA BAADA YA KUZUIWA KUFIKA POSTA NA KIVUKONI. UDA NDIO WENYE KIBALI  CHA KUFIKA.


No comments:

Post a Comment