Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, August 6, 2014

NSSF YASAJILI NA KUWAPA KADI WANACHAMA WAPYA MKOANI LINDI

Afisa Mafao wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Lindi, Bi. Jane Ndumbaro, akikabidhi kadi ya uanachama kwa mwanachama mpya aliyesajiliwa rasmi leo na kupewa kadi ya uanachama.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Bi. Theopista Mheta(aliyeketi), akizungumza na baadhi ya wakazi wa Lindi waliofika kwenye Banda la NSSF kupata maelekezo ya namna ya kujiunga na shirika hilo.

No comments:

Post a Comment