Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, August 3, 2014

NSSF YATINGA MAONYESHO YA NANENANE LINDI KUSAKA WANACHAMA

Afisa Mafao wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), mkoani Linbdi, Jane Ndumbaro (kushoto), akimwandikisha mwanachama mpya, Bi. Sharifa Ngahama aliyejiunga shirika hilo kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane Ngongo, Lindi, yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamedi Shein
Bi. Jane akimpiga picha mwanachama mpya wa shirika hilo kwa ajili ya kumtengenezea kitambulisho rasmi cha uanachama wa NSSF, baada ya mwanachama huyo kuthibitisha kujiunga na NSSF mkoani Lindi leo.
Watoa huduma wa NSSF wakisajili wanachama wapya wa shirika hilo, kwenye viwanja vya maonyesho ya Nanenane Ngongo, mkoani Lindi yaliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar, DK Ali Mohamed Shein July mosi.No comments:

Post a Comment