Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, August 3, 2014

NYOTA YA LOWASA YANG'ARA KITAIFA NA KIMATAIFA

PAMOJA na misukosuko ya hapa na pale ikiwemo kupakana matope kwa makada wa Chama Tawala, Nyota ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli (CCM), Edward Ngoyay Lowasa (picahni), bado inang'ara kwa kasi kubwa huku baadhi ya watanzania wa kada mbali mbali wakimhitaji kwa udi na uvumba kurthi mikoba ya Rais anayemaliza muda, swahiba wake mkubwa, Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye atastaafu Urais Oktoba 2015, baada ya kumaliza muda wake wa uongozi. 

No comments:

Post a Comment