Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, August 5, 2014

TUMEUA VIWANDA WENYEWE AJIRA KWA VIJANA ZITATOKA WAPI

HUWEZI KUAMINI KUWA HAPA NDIPO KILIPOKUWA KIWANDA KIKUBWA CHA NGUO CHA SUNGURA, GONGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM AMBACHO SASA HAKIKPO NA MAJENGO YAKE YAMEVUNJWA NA KUGAWANYWA NA WALIOKUWA WAFANYAKAZI.
ENEO HILI NDIPO KULIPOKUWA NA MAJENGO YA KISASA YALIYOASISIWA NA HAYATI MWALIMU NYERERE, YAMEBAKI MASHIMO MAKUBWA BAADA YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI NA WANANCHI WENGINE KUBEBA MPAKA MAWE YA MSINGI.

 SEHEMU YA RELI YA KATI INAYOPITA KARIBU NA KIWANDA HICHO, GONGO LA MBOTO
 HII NI BARABARA YA VUMBI INAYOPITA KARIBU NA ENEO HILO KWENDA PUNGU

No comments:

Post a Comment