USALAMA BARABARANI DAR WACHARUKA, WAKAMATA MAGARI

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Dar es Salaam akiongea na dereva wa Lori ndogo ya mizigo, baada ya kumkamata katika eneo la Gongo la Mboto, huku baada ya madereva wa magari wakisikiliza
 Baadhi ya magari yaliyokamatwa na Trafiki katika eneo la Gongo la Mboto kwa makosa mbali mbali leo.
 Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani akimweleza dereva wa Lori kuwa haruhusiwi kubeba abiria.

 Afisa wa Polisi akijaribu kufafanua jamba kwa dereva wa Lori aliyekamatwa akisafirisha abiria.
Askari wakiwajibika kukamata magari yaliyovunja sheria za Usalama Barabarani, Dar es Salaam leo.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU