Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, August 6, 2014

WADAKWA NA POLISI WAKISAFIRISHA BHANGI ARUSHA

Gari aina ya Toyota Corolla namba  T589 AZS likiwa limekatwa na shehena kubwa ya madawa ya kulevya aina ya Bhangi katika eneo la Sanawari, Jijini Arusha, baada ya Askari wa Kitengo Maalum cha kuzuia madawa ya kulevya kulitilia shaka na kufanikiwa kulikamata. Watuhumiwa ni wana familia.

No comments:

Post a Comment