WAZIRI CHIKAWE AKUTANA NA GRACA MACHEL

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, MATHIAS CHIKAWE AKITETA NA MWANAHARAKATI WA HATI ZA WANAWAKE NA WATOTO,  GRACA MACHEL, WALIPOKUTANA DAR ES SALAAM LEO. MAMA HUYU NI MWANAMKE PEKEE DUNIANI ALIYEOLEWA NA MARAIS WAWILI KWA NYAKATI TOFAUTI, SAMORA MACHEL WA MSUMBIJI NA NELSON MANDELA WA AFRIKA KUSINI. HONGERA SANA MAMA KWA KUVUNJA REKODI YA DUNIA.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru