Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, September 2, 2014

JK AZINDUA UJENZI BARABARA YA KONGWA - MBANDE DODOMA

Rais Jakaya Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi na Mbunge wa Kongwa ambaye pia ni Naibu Spika Job Ndugai, wakifurahia jambo baada ya Rais kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Mbande hadi Kongwa ya kilomita 16.5.
Rais Kikwete  akikata utepe kuzinduzia rasmi ujenzi wa barabara ya Mbande-Kongwa yenye urefu wa 16.5. Wa tatu kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi wa pili kushoto, Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma Kapuya wa tatu kulia, Katibu Mkuu Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe na viongozi wa chama na serikali, 

No comments:

Post a Comment