MAHAFARI YA 11 ST. THOMAS ARUSHA YAFANA

MKURUGENZI WA SHULE YA ST. THOMAS, BW. GARINGA MAKONGORO, AKIZUNGUMZA NA WAGENI WAARIKWA WAKATI WA MAHAFARI YA 11 YA DARASA LA SABA YALIYOFANYIKA SHULENI HAPO JUZI. KUSHOTO NI MKAGUZI WA SHULE KANDA YA KASKAZINI MAGHARIBI, BW. ELIMBOTO WILSON MKHANDI.

MKURUGENZI MSHAURI WA SHULE YA ST, THOMAS, BI. ZIRA MAKONGORO AKITOA NENO LA SHUKRANI WAKATI WA MAHAFARI YA 11, YALIYOFANYIKA ARUSHA JUZI

MGENI RASMI MKAGUZI WA SHULE KANDA YA KASKAZINI MAGHARIBI, BW. ELIMBOTO WILSON MKHANDI, AKITOA WOSIA KW WANAFUNZI 53 WALIOHITIMU DARASA LA SABA KATIKA SHULE YA ST. THOAMS NA KUAGWA RASMI JUZI.

MKURUGENZI MSHAURI WA ST. THOMAS, BI. ZIRA MAKONGORO, AKIWAONGOZA WAHITIMU WA DARASA LA SABA KUINGIA UKUMBINI WAKATI WA MAHAFARI YA 11 YA SHULE HIYO.

"MAJEMBEEE, MAJEMBEEE, NYINYI NI MAJEMBE, KUWENI MABALOZI WAZURI WA ST. THOMAS, HAKUNA WA KUWABABAISHA KATIKA ELIMU", NDIVYO ANAVTOSEMA MKURUGENZI MKUU, BW. MAKONGORO AKIWAONYESHA ALAMA YA UMOJA, BAADA YA KUZUNGUMZA NA WAHITIMU HAO WA DARASA LA SABA.

MGENI RASMI, BW. MKHANDI AKIMTUNUKU ZAWADI YA FEDHA. MWALIMU MKUU WA ST. THOMAS BW. ANDREW BRUNO MWAIPOPO KWA KAZI NZURI YA KUTOA ELIMU BORA KWA WAHITIMU WA DARASA LA SABA. KULIA NI MKURUGENZI MAKONGORO.

MMOJA WA WAHITIMU WA DARASA LA SABA, BROWN JAPHET AKITUNUKIWA ZAWADI NA MGENI RASMI BAADA YA KUFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YAKE. 
STEVEN ADAM (RASTA), AKIPOKEA CHETI CHA KUHITIMU DARASA LA SABA JUZI.
PIUS SIFAEL MASUKI AKIPOKEA ZAWADI YA FEDHA KUTOKA KWA MGENI RASMI BAADA YA KUCHAGULIWA KUWA MWANAFUNZI ALIYEFANYA VIZURI DARASANI.

WAHITIMU WA DARASA LA SABA, BROWN (KULIA) NA MASUKI WAKIONYESHA KIPAJI CHAO CHA UIGIZAJI KWA KUTOA BURUDANI KWA WAGENI WAARIKWA.

 MGENI RASMI, MKAGUZI WA SHULE KANDA YA KASKAZINI MAGHARIBI,ELIMBOTO WILSON MKHANDI (WA TATU KUSHOTO), AKIWA NA WAKURUGENZI NA WAHITIMU WA DARASA LA SABA, ST. THOMAS ARUSHA.
 WAHITIMU WA DARASA LA SABA ST. THOMAS ARUSHA WAKITOA BURUDANI

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU