Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, September 11, 2014

MEMBE, BALOZI MARK WAKUMBUKA TUKIO LA SEPTEMBA 11

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Mark Chidress alipofika ofisini kwa Waziri kwa mazungumzo na kuimarisha ushirikiano na kukumbuka tukio la kigaidi la Septemba 11.
Waziri Membe akitata jambo na mgeni wake Balozi Mark, ofisini kwake, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Jijini Dar es Salaam...

No comments:

Post a Comment