MKUTANO MKUU WA MWAKA TBL WAFANYIKA LEO

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya akifafanua jambo, alipozungumza na wana hisa wa kampuni hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka, uliofanyika Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Bw. Roberto Jarrin na Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Huruma Ntahema.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya akifafanua jambo, alipozungumza na wana hisa wa kampuni hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka, uliofanyika Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Bw. Roberto Jarrin.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Roberto Jarrin (kulia), akitata jambo na Maofisa wa shirika hilo, Mkurugenzi wa Afrika Mashariki, Bw. Mario Van Gelden (kushoto) na Mkurugenzi wa Rasilimari watu, Bw. David Magese, wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa wana hisa, uliofanyika Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru