MNATAKA UNYERERE, MTAIFANYIA NINI TANZANIA

BABA WA TAIFA HAYATI MWALIMU JULIUS NYERERE  ALIWAHI KUULIZA, "MNAUTAKA URAIS, MTAIFANYIA NNI TANZANIA, MAANA IKULU NI MZIGO SI PAKUKIMBILIA"........
WAZIRI MKUU MSTAAFU, EDWARD LOWASA, AMBAYE WAKATI AKIWA KATIKA WADHIFA HUO ALIDHUBUTU, AKAWEZA KUWATIMUA KAZI BAADHI YA WATENDAJI WABADHILIFU.
WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, BW. BENARD MEMBE, NI MIONGONI MWA WATANZANIA WANAOTAJWA KUWANIA UNYERERE WA TANZANIA.
 WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MAHUSIANO NA URATIBU, BW. STEPHEN WASSIRA, AMBAYE  PIA ANATAJWA KUWANIA UNYERERE WA TANZANIA HASA KUTOKANA NA MSIMAMO WAKE DHABITI NDANI YA CHAMA NA SERIKALI...
RAIS JAKAYA KIKWETE, AMBAYE ALITANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS MWAKA 1995 NA KUFANIKIWA KUUVAA NYERERE  MWAKA 2005, ENZI HIZO AKIWA BADO KIJANA.
RAIS MSTAAFU WA TANZANIA, BENJAMIN MKAPA AKITETA NA EDWARD LOWASA...

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU