Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, September 26, 2014

NSSF MKOA WA TEMEKE, YAWAFUNDA WAAJIRI

Meneja Kiongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Temeke, Bw. Yahaya Mhamali, akifafanua jambo alipozungumza na waajiri wa mkoa huo, wakati wa semina ya siku moja, iliyoandaliwa na shirika hilo, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja Idara za Serikali na Balozi, Bi. Rehema Chuma.

Maofisa waajiri waliohudhuria semina hiyo, wakiwa kwenye ukumbi wa Water Front, Dar es Salaam

 Meneja Mafao wa NSSF, Bw. James Oig akifafanua jambo, wakati akizungumza na waajiri, Dar es Salaam
Baadhi ya Maofisa waajiri wakimsikiliza kwa makini, Meneja Kiongozi wa NSSF, Bw. Mhamali, alipozungumza nao kwenye Ukumbi wa Water Front, Dar es Salaam

Waajiri wakiandika kumbukumbu, wakati wa semina ya siku moja ya kuwajengea uwezo.

Hawa wakifuatilia kwa makini semima hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Water Front

Meneja Kiongozi, Mkoa wa Temeke, Bw. Mhamali akijibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na waajiri, wakati wa semina hiyo. Kushoto ni Meneja wa NSSF Idara za Serikali na Balozi, Bi. Rehema Chuma

Baadhi ya Maofisa wa NSSF, waliofanikisha semina hiyo, wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment