YANGA ILIVYOIDUNGA THIKA UNITED KWA BAO 1-0

KIKOSI  CHA YANGA AFRICAN KILICHOWATUNGUA THIKA UNITED YA KENYA BAO 1-0, WAKATI WA MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA, UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM.
KIKOSI CHA THIKA UNITED KILICHODUNGWA BAO 1-0 NA YANGA UWANJA WA TAIFAKIUNGO WA YANGA MWENYE CHENGA ZA MAUDHI HARUNA NIYONZIMA (KUSHOTO), AKIJARIBU KUMPITA MLINZI WA THIKA UNITED YA KENYA
KOCHA MKUU WA YANGA, MBRAZIL MARCIO MAXIMO, AKIWAONYESHA WASAIDIZI WAKE MBINU ZA KUIANGAMIZA THIKA UNITED ZILIPOKUTANA UWANJA WA TAIFA.
MFUNGAJI WA BAO PEKEE LA YANGA SANTOS JAJA AKIUFUKUZA MPIRA MBELE YA WALINZI WA THIKA UNITED
WINGA MATATA WA YANGA SIMON MSUVA AKIUTAKA MPIRA KUTOKA KWA MLINZI WA THIKA UNITED YA KENYA.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru