Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, September 8, 2014

YANGA WANAJITAMBUA?

KLABU KONGWE YA YANGA IMEENDELEA KUONYESHA UDHAIFU NA KUPIGWA BAO LA KISIGINO NA MAHASIMU WAO WAKUBWA SIMBA, BAADA YA JANA KUSHINDWA RUFAA YA MCHEZAJI ALIYESAJILIWA MWAKA HUU, EMANUEL OKWI (PICHA YA CHINI).

OKWI ALIYESAJILIWA WAKATI WA USAJILI WA DIRISHA DOGO MWAKA HUU NA KUICHEZEA YANGA MECHI SITA TU NA KULAMBA MAMILIONI NA FEDHA ZA WANA JANGWANI. NI WAZI YANGA IMEINGILIWA KIASI CHA KUSHINDWA HATA RUFAA YA AINA HII. YANGA WAKAE CHINI NA KUJIULIZA.

.ENZI ZA HAYATI  ABBAS GULAMALI NA MOHAMED VIRAN YANGA HAIKUKUMBWA NA UZEMBE KAMA SASA KUTOKANA NA UMAKINI WA UONGOZI WALIOKUWEPO WAKATI HUO. TOFAUTI NA SASA YANGA IMEINGILIWA IJITAZAME  VINGINEVYO HAITAFANYA VIZURI KUTOKANA NA HUJUMA ZILIZOPO NDANI YAKE. MHARIRI. 

No comments:

Post a Comment