YANGA YAIKOMESHA AZAM, YAITULIZA 3-0

KIKOSI CHA YANGA AFRIKA KILICHOIFUMUA AZAM 3-0 NA KUTWAA NGAO YA JAMII
KIKOSI CHA AZAM KILICHOONJA JOTO YA JIWE KWA KUFUMULIWA NA YANGA 3-0.
WINGA HATARI WA YANGA, MRISHO NGASA KULIA AKIJARIBU KUMTOKA MLINZI WA AZAM DAVID MWANTIKA, WAKATI WA MCHEZO WA NGAO YA JAMII NA UFUNGUZI WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA.
KIUNGO MSHAMBULIAJI WA YANGA, HARUNA NIYONZIMA AKIMTOKA MLINZI WA AZAM DAVID MWANTIKA ALIYEKATA TAMAA NA KUKAA CHINI, AKIMWACHA AELEKEE LANGONI MWA AZAM...
GOLIKIPA WA AZAM MWADIN ALI MWADIN AKIPIGA KELELE KUWAOMBA MABEKI WAKE KUKAZA BUTI BAADA YA MASHAMBULIZI MAKALI KUELEKEZWA LANGONI
MLINZI WA AZAM ERASTO NYONI AKIJARIBU KUMZUIA MRISHO NGASA WA YANGA


KOCHA WA YANGA, MARCIO MAXIMO AKIFUATILIA KWA MAKINI MCHEZO HUO
WACHEZAJI WA AZAM WAKIMSILIZA KOCHA JOSEPH OMOG BAADA YA MCHEZO HUO NA KUTANDIKWA MABAO 3-0 NA YANGA, UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM
WACHEZAJI WA YANGA WAKIFURAHI BAADA YA KUMALIZA KAZI NA KUVISHWA MEDALI ZA USHINDI KWA KUIFUMUA AZAM 3-0 NA KUTWAA NGAO YA JAMII.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru