Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, October 13, 2014

MAKAMU RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA NYUMBA ZA NSSF

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Iddy (wa pili kulia), akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau, alipotembelea mradi wa nyumba zinazojengwa na shirika hilo, Kijichi, Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo.
Makamu wa pili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddy (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau (kulia) na Meneja Miradi wa shirika hilo, Mhandisi John Msemo, wakimwangalia mke wa Makamu wa pili wa Rais, Mama Asha Seif, wakati akionyesha michoro wa nyumba ziliomvutia, walipotembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa, Kijichi Dar es Salaam
Makamu wa pili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddy (wa pili kulia), akiwasikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau (kulia kwake) na Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo, wakati wakimuonyesha baadhi ya nyumba za kisasa zinazojengwa na shirika hilo, Kijichi, Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau (wa tatu kushoto), akimuonyesha Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Iddy, baadhi ya nyumba zinazojengwa na shirika hilo, Kijichi, Dar es Salaam leo. Wa pili kulia ni Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo.
 Mhandisi Msemo akitoa maelezo ya mradi kwa Makamu wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddy. Kulia ni Mkewe Mama Asha Iddy na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dkt. Ramadhan Dau
Hizi ni baadhi ya nyumba za kisasa zinazojengwa na NSSF Kijichi, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment