BALOZI SEIF IDDY AUFAGILIA MRADI WA NSSF DEGE ECO

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddy, akizungmza baada ya kutembelea Mradi wa Nyumba za kisasa katika Kijiji cha Dege Eco, Kigamboni, Dar es Salaam jana, Kushoto ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo, Mkurugeni wa Hifadhi, Mhandisi Julius Nyamuhokya na Afisa Uwekezaji Mwandamizi wa NSSF, Bw. Tajudin Kamugisha (kulia)

Mhandisi Msemo akimkabidhi Balozi Iddy zawadi kutoka NSSF


Mhandisi Msem akisisitiza jambo, wakati akimtembeza Balozi Iddy kuangalia Nyumba hizo 


Mhandisi Msemo akimweleza jambo Balozi Iddy, wakati akitemtembeza Mradi mkubwa wa Ujenzi wa Nyumba za kisasa katika Kijiji cha Dege Eco Kigamboni, Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam


 Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddy, akimsikiliza, Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo, alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za kisasa katika Kijiji cha Dege Eco, Kigamboni, Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Hifadhi, Mhandisi Julius Nyamuhokya na Afisa Uwekezaji Mwandamizi wa NSSF Bw. Tajudin Kamugisha.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru