Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, November 9, 2014

NSSF YAVUNJA REKODI YA KUCHANGIA FEDHA UDOM

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, akipokea mfano wa hundi ya sh. Milioni 100, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bi. Chiku Matesa (wa pili kulia), wakati wa Uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti Baraza la Chuo hicho Balozi Juma Mwapachu, Mkuu wa Chuo Profesa Idrisa Kikula na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Juma Kintu.
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, akipokea mfano wa hundi ya sh. Milioni 100, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bi. Chiku Matesa (wa pili kulia), wakati wa Uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti Baraza la Chuo hicho Balozi Juma Mwapachu na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Juma Kintu.

No comments:

Post a Comment