ROTARY KLABU DSM YAISAIDIA MAJI SAFI KISUKURU SHULE YA MSINGI


Diwani wa Kata ya Kimanga, Bi. Hellen Ryatura (kushoto), na Rais ya Rotary Klabu Dar es Salaam, Bw. Jonson Mshana wakigawa vikombe vya maji kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kisukuru, baada ya kuzindua mradi wa bomba la maji safi ya kunywa, uliojengwa na Rotary Klabu.

Diwani wa Kata ya Kimanga, Bi. Hellen Ryatura (kushoto), akichota maji kwa kikombe, baada ya kuzindua mradi wa bomba la maji safi ya kunywa katika Shule ya Msingi Kisukuru, uliojengwa na Rotary Klabu Dar es Salaam. Wengine ni Rais wa Rotary Klabu Dar es Salaam, Bw. Jonson Mshana, Mwenyekiti wa Bodi, Bi. Shamilla Bhatt (mwenye miwani kichwani) na Mjumbe wa Bodi Bi. Lucy Minde (mwenye kofia

  
Diwani wa Kata ya Kimanga, Bi. Hellen Ryatura (kushoto), akichota maji kwa kikombe, baada ya kuzindua mradi wa bomba la maji safi ya kunywa katika Shule ya Msingi Kisukuru, uliojengwa na Rotary Klabu Dar es Salaam. Wengine ni Rais wa Rotary Klabu Dar es Salaam, Bw. Jonson Mshana na Meneja Mradi, Bw. Mohamed Dada.


Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru