TBL, KONYAGI ZATWAA TUZO ZA MLIPA KODI BORA NCHINI

Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Konyagi Tanzania, Bw. Michael Brown akionyesha kombe la mshindi wa jumla, baada ya kukabidhiwa na Waziri Kiongozi Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, shamsi Vuai Nahodha, wakati wa maadhimisho ya nane ya mlipa kodi yaliyofanyika Dar es Salaam.

Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, akikabidhi Kombe la mshindi wa kwanza Meneja wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Alois Maleck Qande, wakati wa maadhimisho ya nane ya mlipa kodi, Dar es Salaam juzi.

 Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bw. Shamsi Vuai Nahodha, akikabidhi kikombe kwa Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Konyagi Tanzania, Bw. Michael Brown (kulia), baada ya kampuni hiyo kutangazwa kuwa mshindi wa jumla wakati wa maadhimisho ya nane ya mlipa kodi. Kushoto ni Meneja wa Fedha, Bw. Edward Mashingia na Meneja Masoko Bw. Joseph Chibehe.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru