Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, December 21, 2014

DKT. DAU AWAAGA RASMI MAOFISA WA NSSF GAMBIA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau, akiwakabidhi zawadi maofisa wawili kutoka NSSF Gambia,  Meneja Mwandamizi wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Bw. Baboucarr nyan (kushoto) na Meneja wa Idara ya Bima kutoka shirika hilo, Bw. Edward Somez, waliokuwa nchini kwa mafunzo maalumu ya wiki mbili, Jijini Dar es Salaam
Wakiangalia zawadi zilizotolewa na Dkt. Ramadhan Dau Shirika hilo, Dar es Salaam baada ya kuwaaga rasmi
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau, akimkabidhi zawadi Meneja Mwandamizi wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa NSSF ya Gambia, Bw. Baboucarr Nyan (kushoto) na Meneja wa Idara ya Bima wa shirika hilo Gambia, Bw. Edward Somez. walipokuwa nchini kwa mafunzo maalumu ya wiki mbili, Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment