Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, December 3, 2014

HITILAFU YA UMEME YASABABISHA TAFRANI JENGO LA BENKI YA NBC DAR

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC SOKOINE DRIVE, WAKIWA KWENYE VIWANJA VYA SAMORA, BAADA YA KUTOKEA HITILAFU YA UMEME KWENYE JENGO LA BENKI HIYO, DAR ES SALAAM LEO. HAKUNA ALIYEJERUHIWA.

 WATOA HUDUMA YA KWANZA WAKIANDAA VIFAA KWA AJILI YA KAZI HIYO. HATA HIVYO HALI ILITULIA NA WAFANYAKAZI WAKARUDI KAZINI.
OFISA WA BENKI HIYO RUKIA MTINGWA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA HALI KUWA SHWALI. 
RUKIA AKIWASILIA NA MAMLAKA MBALIMBALI ZA UOKOAJI

No comments:

Post a Comment