KAMPUNI 100 ZA KATI ZATUNUKIWA TUZO ZA HESHIMA DAR ES SALAAM
Naibu Mtendaji Mkuu wa Benki M, Bi. Jacqueline Woiso (wa tatu kushoto), akikadhi Tuzo maalumu kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Tanga Fresh, Bw. Douglas Makere, baada ya kumvisha Joho la heshima, wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili ya kuzipongeza kampuni 100 za kati, Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa wa Kampuni hiyo, Bw. Protas Kimario. PICHA YA JUU NA CHINI.
Naibu Mtendaji Mkuu wa Benki M, Bi. Jacqueline Woiso akimvisha kofia ya heshima Mwakilishi wa Tanga Fresh, Bw. Douglas Makere, wakati wa chakula cha usiku kwa ajili ya kuyapongeza makampuni 100 ya saizi ya kati, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Ofisa wa Kampuni hiyo, Bw. Protas Kimario.


Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru