Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, December 8, 2014

MABEHEWA YA KISASA YAWASILI KUBORESHA USAFIRI WA RELI

Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe akiangalia sehemu ya mabehewa ya kisasa yaliyowasili Dar es Salaam kwa ajili ya usafiri wa Reli ya Kati. Mabehewa hayo yanatarajiwa kuanza kazi na kupunguza kwa kiasi kikubwa adha ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam na mkoa wa Kanda ya Ziwa Victoria na Magharibi.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, baada ya kupokea sehemu ya mabehewa ya Treni ya Kati, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN)
Mabehewa hayo yanavyoonekana kwa ndani.
Vyumba maalumu kwa wasafiri wa daraja la kwanza kama vitanda vinavyoonekana.

No comments:

Post a Comment