Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, December 5, 2014

TAIFA CUP YA WANAWAKE KUANZA DESEMBA 28

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Tanzania Jamali Malinzi akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo kuhusu Kampuni ya Proin Promotion ltd kudhamini mashindano ya Kombe la Taifa la wanawake wa mikoa yote Tanzania Bara, inayoanza Desemba 28 mwaka huu. Timu za Mikoa ya Mwanza na Mara zitafungua pazia ya michuano hiyo.

No comments:

Post a Comment