WABUNGE JUMUIA YA MADOLA WAVUTIWA NA DARAJA LA KIGAMBONI

Wabunge wa Bunge la Jumuia ya Madola Afrika, wakimsikiliza kwa makini Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi Karrim Mattaka, walipotembelea miradi ya shirika hilo, Dar es Salaam leo.
 Wabunge wa Jumuia ya Madola wakiangalia ujenzi wa Daraja la Kigamboni unavyoendelea
Mjumbe wa Bajeti ya Bunge la Jumuia ya Madola ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zito Kabwe (kushoto), na Wabunge wa Bunge hilo, wakimsikiliza kwa makini Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karrim Mattaka wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), walipotembelea daraja hilo, Dar es Salaam leo.
Mjumbe wa Bajeti ya Jumuia ya Madola na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zito Kabwe akisindikizwa na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Juma Kintu kupita kwenye kivuko cha muda, wakati Zito na wabunge wa Bunge wa Jumuia hiyo walipotembelea daraja la Kigamboni, Dar es Salaam leo.
Wabunge hao wakimsikiliza Mhandisi Mattaka, baada ya kuvutiwa na mradi wa daraja la Kigamboni, Dar es Salaam leo. Wa pili kushoto ni Mjumbe wa Bajeti wa Bunge hilo, Zito Kabwe.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru