YANGA, AZAM ULIKUWA MCHEZO WA KISASI NA UJUZI

MABINGWA WA ZAMANI YANGA AFRIKA KABLA YA KUCHEZA NA MAHASIMU WAO WA PILI KATIKA SOKA AZAM FC NA KUFUNGANA MABAO 2-2, UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM.
KIKOSI CHA MABINGWA WATETEZI WA KOMBE LA VODACOM TANZANIA BARA AZAM  WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA KABLA YA KUSHUKA DIMBANI KUCHEZA NA YANGA JUMAPILI.
SHABIKI NAZI WA YANGA KAUNDA KILINDA (KATIKATI) NA MASHABIKI WENZAKE WAKISHINDWA KUAMINI MACHO YAO BAADA YA JOHN BOKO WA AZAM KUSAWAZISHA BAO DAKIKA YA 65


MWAMUZI WA YANGA NA AZAM, METHEW AKRAMA AKIJARIBU KUWAZUIA WACHEZAJI HIZO SIMON MSUVA NA OSCAR JOSHUA (KULIA), NA HIMID MAO NA ERASTO NYONI


MASHABIKI WA YANGA WAKIFUATILIA KWA MAKINI PAMBANO LA TIMU YAO NA AZAM. WALIELEZA KURIDHISHWA NA KIWANGO KILICHOONYESHWA NA WACHEZAJI 
MLINZI WA AZAM AGREY MORRIS 13 AKIJARIBU KUMZUIA SIMON MSUVA WA YANGAAMIS TAMBWE WA YANGA AKITAFUTA MBINU ZA KUUCHUKUWA MPIRA UNAOMILIKUWA NA MLINZI WA AZAM PASCHAL WANA, WAKATI WA MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA JUZI. TIMU HIZO ZILIFUNGANA 2-2.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru