Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, January 19, 2015

DKT. MOHAMED BILAL A AMPONGEZA ASKOFU KINYAIYAMakamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal (kulia) akiwahutubia Maaskofu na waumini walioshiriki sherehe za kumsimika Askofu Beatus Kinyaiya wa Jimbo la Dodoma, iliyofanyika katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Mjini Dodoma jana.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akimpongeza Askofu Beatus Kinyaiya, baada ya kusimikwa rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dodoma jana.

Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal (kulia kwa Askofu Kinyaiya) na Rais  Mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa (kulia kwa Askofu), wakiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu walioshiriki katika sherehe ya kusimikwa kwa Askofu huyo, Mjini Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment