Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, January 22, 2015

GRACA MACHEL, ANGELA KAIRUKI KUKOMESHA NDOA ZA WATOTO

Mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Hayati Nelson Mandela, Bi. Graca Machel ambaye ni Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, akisalimiana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Bi. Angellah Kairuki, Dar es Salaam jana, alipofika kuunga mkono jitihada za kukomesha vitendo vya ukeketaji na ndoa za utotoni. Wengine ni wadau kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA)


Bi. Graca Machel (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuunga mkono juhudi za kupambana na vitendo vya ukeketaji na ndoa za utotoni. Kushoto ni Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu Duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt. Natalia Kanem.

No comments:

Post a Comment