Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, January 11, 2015

MAGUFULI AIWAKILISHA TANZANIA MSIBA WA MTOTO WA ODINGA

Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Bw. Raila Odinga (wa pili kulia), akiteta jambo na Ujumbe kutoka Serikali ya Tanzania, ulioongozwa na Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli (kulia), walipofika nyumbani kwake Bondo, nje ya mji wa Kisumu kushiriki mazishi ya mwanae, Fidelis Castro Odhiambo Odinga, aliyefariki mapema mwaka huu.
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, akimfariji Mama Mzazi wa Marehemu Fidelis Castro Odhiambo Odinga, alipofika nyumbani kwao kuwafariji.
Dkt. Magufulli akisalimia na Mjane wa Rais wa zamani wa Uganda, Miria Obote, walipokutana kwenye msiba wa mtoto wa Fidelis Castro Odhiambo Odinga,
Dkt, Magufuli akiteta jambo na aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kenya, Bw. Karonzo Msyoka, walipokuta kwenye msiba wa Fidelis Castro Odhiambo Odinga,
FDkt. Magufuli akiwakilisha salamu za Tanzania wakati wa kuuaga mwili wa Fidelis Castro Odhiambo Odinga, Kisumu Kenya,

No comments:

Post a Comment