Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (mbele) akikagua eneo la Hifadhi la Selous, kabla ya kupokea vifaa vifaa maalumu vya kupambana na majangili wanaoua wanyama kwenye hifadhi.
Waziri Nyalandu
akibalidilishana hati na Balozi wa Ujerumani nchini, Bw. Egon Kochanke,
baada ya kusaini mkataba na nchi za Ujerumani na Marekani zilizoisaidia Tanzania vifaa
vya kisasa vya kupambana na majangili.
Baadhi ya vifaa vya
kisasa vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya kukabiliana
na majangili katika Hifadhi ya Taifa ya Selous.
Askari wa
Wanyamapori, Bi. Anita Albert, akijaribu kutumia kionambali ambacho ni miongoni vya vifaa
vilivyotolewa na Seriali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya
kukabiliana na ujangili
Askari wa
wanyamapori wakikagua mahema ambayo ni miongoni mwa vifaa vilivyotolewa kwa ajili ya kukabiliana na
ujangili katika Selous.
Comments
Post a Comment