MRITHI WA RAIS KIKWETE KUIBUKIA NDANI YA NGOME HII DODOMA

RAMANI ZA MAJENGO YA KISASA YANAYOJENGWA KWA KASI DODOMA KWA AJILI YA VIKAO VYA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI, UTAKAOPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS WA AWAMU YA TANO, KURITHI VIATU VYA RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, ANAYEMALIZA MUDA WAKE. NANI ATAVAA VIATU HIVYO?...
WAJUMBE ZAIDI YA 3000 WA MKUTANO MKUU WA CCM WATAKETI NDANI YA JENGO HILI KUMCHAGUA MGOMBEA WA CHAMA HICHO KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI MWAKA HUU

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru