MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AAPISHWA IKULU


Rais Jakaya Kikwete akitia saini nyaraka za serikali huku Bw. George Mcheche (kulia) akiangalia muda mfupi baada ya kuapisha Ikulu, Dar es Salaam leo kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi nyaraka za Serikali Bw. George Mcheche, baada ya kumuapisha rasmi Ikulu, Dar es Salaam leo kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania, baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Jaji Fredrick Werema.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru