Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, January 22, 2015

NAIBU WAZIRI UJENZI AKAGUA KIVUKO CHA MV. UTETE

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Gerson Lwenge (mbele), na baadhi ya wahandisi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme, wakikagua Kivuko cha Mv. Utete, kilichosimamisha huduma baada ya kina cha maji katika eneo la Mto Rufiji, Mkoani Pwani kupungua.


Kivuko cha Mv. Utete kikiwa kimeegeshwa kando ya mto huo, baada ya kusimamisha huduma kutokana na kupungua kwa kina cha maji katika Mto Rufiji, ulioko Utete, Mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment