NSSF MEDIA CUP 2025 VIKAO VYAANZA DAR

Wajumbe kutoka Vyombo vya Habari  vinavyoshirikia mashindano ya NSSF Media Cup, yanayoandaliwa na  Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakishiriki kikao cha kwanza cha michezo hiyo inayotarajiwa kuanza Machi, 2015 kwenye viwanja vya Sigara, Jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Mratibu wa mashindano hayo, Afisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Juma Kintu.
Wajumbe wa NSSF Media Cup 2015, wakijadiliana jambo baada ya kukutana Dar es Salaam leo kupanga ratiba ya mashindano hayo ya kila mwaka.
Mratibu wa NSSF Media Cup 2015, Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii, Juma Kintu akigawa kadi za usajili wa wachezaji kwa wawakilishi wa timu zitazoshiriki mwaka huu Dar es Salaam leo. Kutoka kulia ni Mgaya Kingoba (TSN), Mohamed Mharizo (New Habari) na Salum Mkandemba (Tanzania Daima)
Kutoka kulia, Rashid Zahoro (Uhuru), Tom Chilala (Sahara Media), Charles Mateso (Business Times na Mohamed Mharizo, wakiangalia fomu za usajili wa wachezaji kwa makini

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru