SKAUTI TANZANIA WAKUTANA NA WADHAMINI CHAMA DAR
Viongozi wa Chama cha Skauti Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa chama hicho, Rais Mstaafu wa Awamu wa pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (katikati), Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim (wa pili kulia), Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania Abdulkarim Shah (kushoto), Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji, Balozi Kuhanga na Naibu Kamishna Rashid Mchatta.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru