Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, January 31, 2015

WAPIGANAJI WAVINJARI KWENYE MPAKA WA TANZANIA NA MALAWI

MKUU WA BLOG YA MPIGANAJI, NYAKASAGANI MASENZA AKIVINJARI NDANI YA BOTI KATIKATI YA ZIWA NYASA, ENEO LA MBAMBA-BAY, WILAYA MPYA YA NYASA, MKOANI RUVUMA LEO
MKUU WA KITUO CHA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC), TANZANIA BARA, MSANGU SAID AKIONYESHA ALAMA YA USHINDI BAADA YA KUVINJARI NDANI YA ZIWA NYASA, MBAMBA-BAY, MKOANI RUVUMA LEO
DEREVA ALIYETUWEZESHA KUFIKA ENEO LA ZIWA NYASA, KATIKA MJI WA MBAMBA-BAY, NJAU NJOWOKA NAE AKIVINJARI NDANI YA ZIWA NYASA LEO.
MKUU WA BLOG YA MPIGANAJI, AKIREJEA NCHI KAVU BAADA YA KUTOKA KATIKATI ZIWA NYASA, ULIPO MPAKA HALISI WA TANZANIA NA MALAWI, HATA HIVYO VIONGOZI WA NCHI HIYO WANADAI ZIWA HILO NI SEHEMU YA MALAWI.
MKUU WA ZBC KITUO CHA DAR ES SALAAM, BI. MSANGU SAID AKIONYESHA UHODARI WA KUPIGA KASIA, WAKATI AKIELEKEA KATIKATI YA ZIWA, ULIPO MPAKA WA ZIWA NYASA
MKUU WA BLOG YA MPIGANI AKIONYESHA ALAMA YA USHINDI BAADA YA KUTOKA KWENYE MPAKA WA TANZANIA NA MALAWI, AMBAO VIONGOZI WA NCHI HIYO WANADAI NI SEHEMU YAO.
DEREVA WETU NJAU NAYE AKIONYESHA UHODARI WA KUPIGA KASIA ZIWA NYASA

No comments:

Post a Comment