Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, January 7, 2015

WENYEVITI SERIKALI ZA MITAA ILALA, UKONGA, SEGEREA WAAPISHWA LEO

Baadhi ya Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa, walioshinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana, kutoka Majimbo ya Ilala, Ukonga na Segerea wakijaza fomu kabla ya kuapishwa rasmi Dar es Salaam leo  
 Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa wakiapa Mbele ya Mwanasheria wa Serikali kwenye Ukumbi wa Arnautoglo, Dar es Salaam leo
 Wakiangalia fomu kabla ya kujaza kiapo
Wakisubiri kuingia ndani ya ukumbi kwa ajili ya kuapa kuitumikia Serikali

No comments:

Post a Comment