Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, February 1, 2015

JK AWASILI SONGEA KWA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CCM

VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI WAKIWA UWANJA WA NDEGE WA MJINI SONGEA KWA AJILI YA KUMPOKEA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), RAIS JAKAYA KIKWETE
MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA KIKWETE AKITOKA NDANI YA NDEGE BAADA YA KUWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA MJINI SONGEA, MKOANI RUVUMA LEO.
KATIBU MKUU WA CCM, ABDULHIMAN KINANA AKIPIGA SALUTI KAMA ISHARA YA HESHIMA KWA MWENYEKITI WA CHAMA HICHO, JAKAYA KIKWETE, ALIPOMPKEA LEO
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIANGALIA NGOMA YA WANANCHI WA MKOA WA RUVUMA MJINI SONGEA LEO

HAWA NI WATOTO WA HARAIKI WAKISUBIRI KUMPOKEA RAIS KIKWETE UWANJA WA MAJIMAJI MJINI SONGEA LEO
 RAIS KIKWETE AKIPOKEA HESHIMA KUTOKA KWA VIJANA CHIPUKIZI WA CCM LEO
VIJANA CHIPUKIZI WA CHAMA WAKITOA SALAMU YA HESHIMA KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, RAIS JAKAYA KIKWETE, ALIPOWASILI KWENYE UWANJA WA MAJIMAJI LEO.

No comments:

Post a Comment