Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, February 23, 2015

KADA WA CCM ASAIDIA UJENZI WA VYOO VYA SHULE MBAMBA-BAY

KADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), BW. NJOWOKA NJOWOKA (WA TATU KULIA) AKIWA NA MBUNGE WA MBINGA MAGHARIBI, KAPTENI MSTAAFU JOHN KOMBA (KULIA KWAKE) WAKIANGALIA MASHIMO YA VYOO VINAVYOJENGWA KWA UFADHILI WAKE KATIKA SHULE YA MSINGI MBAMBA-BAY, WILAYA YA NYASA, MKOANI RUVUMA.

VYOO VYA ZAMANI AMBAVYO WANAFUNZI WA SHULE HIYO WALIVITUMIA PAMOJA NA WAALIMU WAO KWA AJILI YA KUJISAIDIA. KUTOKANA NA HALI HIYO NJOWOKA AMEFADHILI UJENZI WA VYOO VYA KISASA.

No comments:

Post a Comment