KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SHERIA DARRais Jakaya Kikwete (katika pichani ya juu na chini), akisisitiza jambo, wakati akizungumza na majaji na wananchi, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Sheria kwenye viwanja vya Mahakama Kuu, Mtaa wa Chimala, Dar es Salaam leoJaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akitoa hutuba yake mbele ya Rais Kikwete, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Sheria yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mahakama, Mtaa wa Chimala, Jijini Dar es Salaam leo.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru