Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, February 20, 2015

MLEMAVU WA NGOZI HILAL MHAGAMA ANAVYOTISHIWA MAISHA

MKAZI WA KATA YA KIAGARA, WILAYA MPYA YA NYASA, MKOANI RUVUMA, BW. HILAL MARTINE MHAGAMA, MLEMAVU PEKEE WA NGOZI ENEO HILO, ANADAI KUTISHIWA NA KUISHI MAISHA YA SINTOFAHAMU, HUKU AKILAANI KWA NGUVU ZAKE ZOTE MAUAJI YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI KAMA YEYE 'ALBONO.
BW. HILAL MHAGAMA (MWENYE KOFIA), AKIWA PAMOJA NA WAKAZI WA KIAGARA, WALIPOKUWA KWENYE MKUTANO WA MBUNGE WA VITI MAALUM, MHANDISI STELLA MANYANYA. HILAL AMBAYE NI MVUVI WA SAMAKI KATIKA ZIWA NYASA AMEAMUA KUACHA KAZI HIYO AKIHOFIA KUTEKWA NA KUKATWA VIUNGO VYA MWILI WAKE.

No comments:

Post a Comment