Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, February 7, 2015

NSSF DODOMA NA KASI YA KUVUTIA WANACHAMA WAPYA

Meneja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), mkoani Dodoma, Bw. Kirondera Nyabuyenze, akichapa kazi ofisi kwake mjini Dodoma, akipitia baadhi ya nyaraka muhimu kwa ajili ya kuongeza tija na kasi ya shirika hilo kuvutia wanachama wapya.
Bw. Kirondera Nyabuyenze akipitia baadhi ya taarifa za shirika hilo kabla ya kukutana na watendaji wenzake wa Shirika hilo lenye wanachama wengi nchini Tanzania
"Kama mjuavyo NSSF ndiyo Shirika pekee la Hifadhi ya Jamii hapa nchini Tanzania linalotoa msaada wa matibabu, mazishi, uzazi, kuumia kazini na mengine ya uhakika kwa wanachama wake. Hakuna kama NSSF", anasema Bw. Nyabuyenze wakati akifurahia jambo ofisini kwake, mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment